Blogger Widgets

Social Icons

Pages

Thursday, June 6, 2013

PICHA ZA STEREO BAR KINONDONI BAADA YAKUTEKETEA KWA MOTO JIONI YA LEO.






Bar maarufu Kinondoni iitwayo 'STEREO' imateketea kwa moto mkubwa sana jioni ya leo. Moto huo unadhaniwa ulitokana hitilafu ya umeme katika bar hiyo. Pamoja na bar hiyo kuteketea pia nyumba tatu  lilizokuwa jirani na bar hiyo pia zimeathirika na mali nyingi kuharibika.

Credit : jestina-george.com
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...