Msanii ambae alikuwa South Africa na Albert Mangwea ambae sasa ni
marehemu, anaendelea vizuri kiafya ingawa anajisikia maumivu kifuani na
kichwani, alizungumza na mtangazaji wa Clouds Fm Millard Ayo na kuomba
Watanzania wamuombee ili afya yake izidi kuimarika.
Picha : Clouds Fm / Millard Ayo