Blogger Widgets

Social Icons

Pages

Monday, June 3, 2013

PICHA: HUKU SI NI KUMCHEZEA SIMBA SHARUBU..

DSC07933Dereva tax ameamua kutumia njia ya Treni kuepuka msongamano wa magari katika barabara ya kutokea kigogo kuelekea ubungo barabara hiyo imekua nafoleni kubwa baada ya waendesha magari kuamua kuitumia ili kukwepa foleni barabara ya Ubungo hadi kuingia katikati ya jiji ambayo ipo katika matengenezo ya utanuzi.Picha chris Mfinanga
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...