Blogger Widgets

Social Icons

Pages

Wednesday, June 12, 2013

Picha: Baada ya CocaBoy, Diamond kuwa AzaniaBoy pia?

35ca0bbcd2d111e28c5322000a1f8f97_7


Katika akaunti hiyo, Diamond ameweka picha kadhaa ambazo zote zinamuonesha akiwa amebeba magunia ya unga wa ngano wa Azania na katika picha moja ameandika, “Guess what???.


Wanasema hela huenda kwa wenye hela na mwenye nacho huongezewa zaidi. Sina uhakika, lakini kwa mujibu wa picha nilizoziona kwenye akaunti ya Instagram ya Diamond Platnumz, inaonekana kama the lad is about get some serious money from wazee wa machapati Azania.

ad6d5faed2cf11e293a222000a1fb70a_7
Tutegemee surprise siku si nyingi!!
50013024d2b711e2a62a22000aa803cb_7

Credit: Bongo5

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...