Mbunge wa Vunjo-TLP, Mh. Agustino Lyatonga Mrema akimjulia hali mbunge wa Arumeru Mashariki-Chadema, Joshua Nassari.Mbunge
wa Arumeru Mashariki-Chadema, Joshua Nassari akionesha simu yake ya
mkononi iliyokuwa na matukio ya tukio la kufavamiwa kwake.
Mbunge wa Arumeru Mashariki-Chadema, Joshua Nassari akiwa katika
hospitali ya Taifa muhimbili jijini Dar es Salaam jana akipata matibabu
baada ya kushambuliwa na watu wasiojulikana wakati wa mkutano wa
kampeni za udiwani jijini Arusha. Via/Juma Mtanda