Blogger Widgets

Social Icons

Pages

Friday, June 21, 2013

MBUNGE MACHALI ANAVYOENDELEA HOSPITALI ALIKOLAZWA

Akiendelea kupata nafuu baada kushambuliwa.

Mbunge wa Kasulu Mjini (NCCR), Moses Machali akiwa amelazwa kwenye wodi maalumu katika Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa Dodoma kwa ajili ya kupatiwa matibabu baada ya kuvamiwa na vibaka juzi usiku eneo la Area E mjini humo na kumjeruhi. Aliyesimama ni dereva wake, Baraka Charles Mchira.

Mbunge wa Kasulu Mjini (NCCR), Moses Machali akiwa amelazwa wodini.

Akiendelea kupata nafuu baada kushambuliwa.

Kamanda wa Polisi mkoani Dodoma,David Misime akizungumza na waandishi wa habari mjini humo jana kuhusu tukio la Mbunge wa Kasulu Mjini (NCCR) Moses Machali kuvamiwa na vibaka eneo la Area E juzi
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...