Mbunge
wa Mtwara mjini, Hasnain Murji na wenzake 91 tayari wamefikishwa katika
mahakama ya hakimu Mkazi Mtwara leo asubuhi, wakituhumiwa kufanya
uchochezi wa vurugu na kuamsha hisia mbaya kwa wananchi wa Mtwara juu ya
suala zima la gesi, na kesi inaendelea sasa.