Jengo la Mahakama Kuu Mkoa wa Mbeya
Jaji ya
Mahakama ya Rufaa Tanzania Muheshimiwa Rutakangwa akitambulishwa Gwaride
la ufunguzi wa uskilizwaji wa kesi za Rufaa Mkoani Mbeya
Jaji ya
Mahakama ya Rufaa Tanzania Muheshimiwa Rutakangwa akikagua Gwaride la
Askari 32 wa kikosi cha kutuliza Ghasia Mkoani Mbeya
Ukumbi wa Mahakama kuu ambao kesi zitakuwa zinasikilizwa
Msajili wa Mahakama Muheshimiwa Aaron Lyamuya akizungumza na waandishi wa habari juu ya tukio hilo.
Wafanyakazi wa Mahakama Kuu Mkoani Mbeya wakiangalia Gwaride nje ya Jengo la Mahakama
Baadhi ya Mawakili wa Serikali wakibadirishana mawazo ndani ya Jengo la Makama
Baadhi ya waandishi wa Habari wakiwa katika ofisi ya Msajili wa Mahakama Kanda ya Mbeya Aaron Lyamuya
Picha Na Mbeya Yetu