KATIBU WA MBUNGE WA ARUSHA MJINI MH. GODBLESS LEMA ALIYENUSURIKA KUFA...!
Huyu
ndiye katibu wa mbunge wa arusha mjini Mh. Godbless Lema aliyenusurika
kufa kwa bomu wakati wakiwa kwenye mkutano wa CHADEMA uliofanyika katika
viwanja vya Soweto jijini Arusha, ambapo inasemekana bomu hilo
lilisababisha vifo vya watu watatu na majeruhi zaidi ya sitini. kwa sasa
katibu wa Mh. Lema bado yupo hospital ya Selian lakini afya yake
inaendelea vizuri.