Huddah Monroe Kutua Bongo-Uso Kwa Uso Na Diva Loveness
Aliyekua mmoja wa wawakilishi wa Kenya katika BBA The Chase, mrembo
Huddah Monroe (The Boss Lady) anatua Dar es Salaam, Tanzania ku-host
party ya “Mid Year Bash” siku ya jumamosi tarehe 29/june/2013. BASH hilo
litafanyika ndani ya ELEMENTS LOUNGE, na limedhaminiwa na Unity
Entertainmen, Heinneken, na Vocacom.....Watu wengi wanajiuliza itakuwaje
pale watakapo kutana na Diva loveness ambae wamekuwa na beef kwenye
mitandao wakimgombea Prezzooo...Aka the boy is Mine