Kiukweli inasikitisha sana tangu asubuhi hajatia kitu chochote tumboni
analia ananyamaza,akipewa chakula hakitaki.mungu mjalie ndugu yetu mpe
nguvu aweze kumzika mama yake kwa aman na upendo.
R.I.P mama BARNABA, Maziko ni kesho saa 10 katika makaburi ya mburahati,kuanzia asubuhi saa 5 tutakuwa na misa maalum kwa ajili ya marehemu mama barnabas.