Blogger Widgets

Social Icons

Pages

Monday, June 10, 2013

GROLY ATWAA TAJI LA REDD`S MISS ARUSHA

 Mrembo alieshikilia taji la Redd’s Miss
Arusha Glory Stephen  akipungia watu waliongia
kuangalia kinyanganyiro hicho mara baada ya kutangazwa mshindi, na fasi
ya pili ikiwa imeshikiliwa na Nance Mushi
 Muaandaaji wa Redd’s Miss kanda ya
kaskazini Faustin Mwandago akiwa anawapongez warembo walioshinda
kinyanganyiro cha Arusha na kuwaambia wote waliongia tano bora anawapa
nafasi ya kushiriki kumsaka mrembo wa kanda ya
kaskazini
 Mgeni Rasmi wa sherehe za kumsaka mlibwende
wa Arusha (Redd’s Miss Arusha)John  Mongela  katikati afisa
utamaduni wa jiji la Arusha akifuatia wa kwanza  kulia ni
muaandaaji wa Redd’s Miss kanda ya kaskazini Mwandago
Warembo waliongia katika hatua ya tano bora
Redd’s miss Arusha wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya
kutanganzwa wa shindi
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...