Blogger Widgets

Social Icons

Pages

Saturday, June 29, 2013

GARI LA KANISA LAGONGA TRENI YA ABIRIA MOROGORO

BAADHI ya wananchi wa eneo la Kichangani mkoani Morogoro wakishuhudia gari la kanisa likiwa nyang'a nya baada ya kuigonga Treni ya abiri  iliyokuwa ikitokea Tabora kuelekea jijini Dar es salaam.
Tukio hilo limetokea leo ambapo mchungaji  aliyekua akiendesha gari hilo alikimbia,ambapo habari zilizopatikana eneo la tukio zilidai kwamba mtumishi huyo wa mungu alikututwa na sekeskeke hilo baada ya kufunga vioo vya gari lake huku akisikiliza simu hivyo hakuweza kuski honi nyingi zilizopigwa na Treni hiyo ilipofika kwenye makutano ya barabara hiyo, ya Treni na gari

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...