Blogger Widgets

Social Icons

Pages

Saturday, June 8, 2013

DR. ASHA ROSE MIGIRO AONGOZA MATEMBEZI YA HISANI KUCHANGIA FEDHA KATIKA KUTOKOMEZA UGONJWA WA FISTULA NA KUZUIA VIFO VYA MAMA NA MTOTO

1Dr. Asha Rose Migiro katikati  Naibu Katibu Mkuu mstaafu wa Umoja wa Mataifa na Katibu wa NEC  Siasa na Uhusiano wa Kiamataifa Chama cha Mapinduzi CCM akiwasili katika hoteli ya Golden Tulip mahali ambapo matembezi ya hisani kuchangia fedha kwa ajili ya kuapambana na Ugongwa wa Fistula na kuzuia vifo kwa mama na mtoto  yamefanyika jijini Dar es salaam na kushirikisha taasisi na mampuni mbalimbali nchini, matembezi hayo yameandaliwa na benki ya Barclays, kulia ni Mkurugenzi mtendaji wa Barclays Kihara Maina na kushoto ni Teddy Mapunda Mkurugenzi wa kampuni ya Montage ambayo ndiyo imeratibu matembezi hayo 2Dr. Asha Rose Migiro Kushoto  Naibu Katibu Mkuu mstaafu wa Umoja wa Mataifa na Katibu wa NEC  Siasa na Uhusiano wa Kiamataifa Chama cha Mapinduzi CCM akishiriki mazoezi kabla ya kuanza kwa matembezi hayo leo asubuhi kutoka kulia ni Dr. Aloyce Nzuki Mkurugenzi mtendaji wa Bodi ya Utalii TTB, Abdulkarim Shah Mbunge wa Mafia na mjube wa bodi ya wakurugenzi ya TTB Kihara Maina Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Barclays 3Dr. Yasin akiongoza mazoezi kabla ya kuanza kwa matembezi hayo leo asubuhi. 4Dr. Asha Rose Migiro Kushoto  Naibu Katibu Mkuu mstaafu wa Umoja wa Mataifa na Katibu wa NEC  Siasa na Uhusiano wa Kiamataifa Chama cha Mapinduzi CCM akishiriki mazoezi kabla ya kuanza kwa matembezi hayo leo asubuhi kutoka kulia ni Dr. Aloyce Nzuki Mkurugenzi mtendaji wa Bodi ya Utalii TTB, Abdulkarim Shah Mbunge wa Mafia na mjube wa bodi ya wakurugenzi ya TTB, Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi TTB Baozi Charles Sanga na  Kihara Maina Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Barclays 5Bendi ya polisi ikiongoza matembezi hayo 6Matembezi yakiendelea 7Yalipitia katika mitaa mbalimbali ya Oysterbay jijini Dar es salaam na kuishia Golden Tulip 8Yakielekea kumalizika rasmi 9Ikawa ni kupasha mwili baada ya kumalizika kwa matembezi hayo 10Mmoja wa walemavu alishiriki bega kwa bega katika matembezi hayo hapa akiwa anafanya mazoezi
 
 
Credit: Josephat Lukaza Blog
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...