Mwenyekiti
wa Mabalozi wa Afrika Ubelgiji Dr. Diodorus Buberwa Kamala
akihitimisha Kikao cha Mbalozi wa Afrika Ubelgiji. Balozi Kamala
amewaalika Mabalozi wa Afrika na Wadau wengine wa maendeleo kuhudhuruia
Mkutano wa Ushirikiano kwa Manufaa wa Wote utakaofanyika Tanzania
kuanzia tarehe 28/06/2013 hadi tarehe 1/07/2013. Aidha, alizitaka nchi
za Afrika na Ulaya kuimarisha Ushirikiano katika sekta ya teknolojia.
Credit: audifacejackson.blogspot.com