Kama
utakua ni muumini wa twitter lazima utakuwa unajua kinachoendelea kati
ya mshiriki wa BBA kutoka Kenya (2013), Huddah na mtangazaji Diva
Loveness love.
kiufupi ni bif kupitia twitter kisa kikiwa ni CMB Prezzo

Katika
interview iliyofanywa na Huddah, mrembo huyo wa Kenya amesema hana
uhusiano na Prezzo, ni rafiki yake tu, na hana beef yoyote na Diva na
kwanza hamfaham.
"you
know mimi hupenda kutoa maoni yangu, so saa ile mi natoa maoni yangu
mtu ana-judge vingine, mi sina bif na Diva, na simjui, na kama
uli-notice i only replied three times."
unajua mi niliandika "lol"
after seeing her tweet calling Prezzo "baby", why? i just find it
funny, so yeye ndio akawa anaandika all that" amesema Huddah
kwa
inavyoonekana Diva alikua akisikiliza radio wakati interview ikiendelea,
na haikumchukua dakika nyingi , akaibuka katika mtandao wa twitter:





