Blogger Widgets

Social Icons

Pages

Saturday, June 22, 2013

CHADEMA WAANZA KUTOA USHAHIDI WAO .... IONE VIDEO NZIMA YA MKUTANO WA CHADEMA ULIPOTOKEA MLIPUKO WA BOMU AMBAYO ILIAHIDIWA KUWEKWA MTANDAONI HII HAPA



Video hii ya saa moja na nusu ya mkutano mzima wa CHADEMA uliofanyika katika viwanja vya Soweto mkoani Arusha uliofanyika siku ya Jumamosi tarehe 15 Juni 2013, siku ambayo palitokea mlipuko na shambulio jioni punde tu baada ya kuhitimishwa kwa hotuba za viongozi mbalimbali, imewekwa youtube na Jesse R.
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...