Hatimaye
Leo asubuhi Bunge limepitisha mswada wa fedha ikiwa ni sehemu ya shuguli
ya mwisho katika mkutano wa bunge la bajeti ulioanza mwezi aprili mwaka
huu.Takribani zaidi ya 60 bunge lilikuwa katika vikao vyake vya
kujadili bajeti za wizara mbalimbali pamoja na bajeti ya serikali.Bunge
hili lilianza kwa mvutano na mikwaruzano ya hapa na pale baina ya
wabunge hao lakini kutokana na busara za viongozi wa bunge hilo leo
linahitimisha mkutano wao,

Waziri wa fedha alliyesoma bajeti ya serikali mwezi huu
Moja ya picha ya mkwruzano uliotokea bungeni katika mkutano huu wa
bajeti hali iliyosababisha wabunge wa watano wa chadema kufungiwa



