Blogger Widgets

Social Icons

Pages

Sunday, June 23, 2013

BOMU LILILOLIPUKA MKUTANO WA CHADEMA WAKATI WA KUFUNGA KAMPENI ZA UDIWANI LAWAPEPERUSHA WATALII 4,716 ARUSHA .

ZAIDI ya watalii 4,716 waliokua waje katika(summer season)ya mwaka huu hapa Arusha wamefuta safari zao uku wengi wao wakienda kenya na baadhi sasa kwenda mkoa wa kilimanjaro (moshi) kisa ni usalama mdogo kutokana na uchaguzi wa madiwani unaoendelea.

Hii sasa ni hatari sana kwa ajira za vijana wa Arusha hasa  madereva tax na wasindikiza wageni !.

Huwa nina kawaida ya kupata breakfast pale metropole na miezi kama hii huwa panajaa sana wazungu pale ndani,lakini ata leo nimeenda wamejaa masai tu.


Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...