Balozi
wa Tanzania nchini Afrika Kusini Radhia Msuya, akiweka saini katika
kitabu cha maombelezo nyumbani kwa baba mdogo wa Marehemu Mangweha Mbezi
Beach jijini Dar leo.
Balozi Msuya (katikati) akibadilishana mawazo na baba mdogo wa marehemu David Mangweha (kulia) na mama mdogo Ella (kushoto).
(PICHA NA RICHARD BUKOS / GPL)