Katibu wa Sekriteriet ya CCM Uhusiano wa Kimataifa Balozi Asha-Rose
Migiro akiteta jambo na Makamu wa pili wa Raiswa Zanzibar, Balozi Seif
mara baada ya Ugeni wao kutoka Chama cha Kipalestina kuonana naye.
Kiongozi
wa Ujumbe wa Chama cha Ukombozi wa Kipalestina Taysear Ishled akiagana
na Makamu waPili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif baada ya kumaliza
mazungumzo yao.
Balozi
wa Uholanzi Nchini Tanzania Dr. Ad Koekkoek akiagana na Makamu wa Pili
wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif baada ya kumaliza muda wake wa utumishi
Nchini Tanzania ifikapoMwezi Julai mwakahuu.
Makamu
wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi, akimpatia zawadi ya
Kasha Balozi waUholanzi Nchini Tanzania Dr. Ad Koekkoek kama ishara ya
ukumbusho kutokana na utumishi wake mzuri hapa Tanzania. Pichana Hassan Issawa – OMPR – ZNZ.
*************************************
SerikaliyaUholanziimeipongezaJamuhuriyaMuunganowa
Tanzania kwauamuzi wake wa kuifungua tena Ofisi yake ya Ubalozi iliyopo
Nchini Uholanzi, kitendo ambacho kitazidisha uhusiano wa karibu kati ya
Mataifa hayo mawili.