Maiti ikipambwa |
Duna
hii imejaa matukio mengi sana na ya ajabu,huko Indonesia kuna utamaduni
ambao si wa kawaida na pengine ni wa ajabu wa kufufua maiti kaburini
na kisha kuwapamba upya na kuwavisha nguo za thamani wavalie kama
walivyokuwa hai.
Na ili kufanikisha zoezi hilo la kihistoria ambalo wanaimani kwa
lazima kufanya ili kuonesha hishima kwa maiti na kulinda mapenzi ya
kweli kwa mtu aliyekufa, kabla ya kumzika maiti anavishwa kitambaa
maalum ili kuzuia mwili wa marehemu kuoza.
Kweli dunia ina mambo.