SHOO ya uzinduzi wa video ya wimbo wa ‘Majanga’ wa msanii wa kizazi kipya, Snura Mushi, usiku wa kuamkia leo ilifana vilivyo ndani ya New Maisha Club kwa kuonyesha uwezo wa majanga yake katika kuzungusha nyonga. Shoo hiyo ilisindikizwa na wanamuziki Tunda Man, Ally Nipishe, Ally Baucha, Menina, Samir na Sharo Swagger.
Monday, June 10, 2013
ANGALIA PICHA ZA KILICHOJIRI KATIKA UZINDUZI WA VIDEO YA SNURA - MAJANGA NDANI YA MAISHA CLUB