Mmoja wa Group la King of Shayo akionesha uwezo wake kwenye viwanja vya
Coco Beach wakionesha mambo yao. Hili group la King of Shayo
linapatikana maeneo ya Kinondoni, Amanasifu na unaweza kuwasiliana nao
kwa simu ya Omary ni namba (0657056733) au Kassim namba yake ya simu ni 0652543256. (Picha na Pamojapure Blog)
Hapa kazi ikiendelea
Hapa ilikuwa ni raha kwa kwenda mbele maana hakuna kwenda sehemu yoyote nje ya nchi kila kitu unakipata Tanzania
Kazi ikiendelea
Huu
ni huwezo binafsi wadau kazi ni kwnu maana vijana wameonesha fursa
kikubwa ni kuwaunga mkono katika sanaa yao wanayoifanya nchini Tanzania
Kazi inaendelea
Group la King of Shayo wakiwa kazini kwenye viwanja vya Coco Beach wakionesha mambo yao
Hili ndilo group la King of Shayo wakiwa kwenye picha ya pamoja
Group la King of Shayo wakiwa kwenye picha ya pamoja na mmiliki wa blog ya pamojapure(wa kwanza kulia)