Baada ya vurugu zilizotokea mkoani mtwara aadhi ya wachina wanaofanya biashara ndogongo hapa mjini,
mtwara pamoja na wale wanaofanya kazi kwenye makampuni ya kuchimba gesi,
wameanza kukimbia kutoka Mtwara. Ofizi zao zote zimeharibiwa na hakuna
hata mmoja anayeonekana. Hatujui wamekimbilia wapi kwa maana hata kwenye
makazi yao hawapo, ila wengine walionekana wamejazana kwenye
landcruiser wakiifuata njia ya kurudi Dar.




