Viongozi
wa kimila wa jamii ya wamasai kutoka katika wilaya ya ya Ngorongoro
ambao wakiongea na wandishi wa habari kuhusu ombi lao kwa mheshimiwa
Rais wa jamhuri ya Muungano Jakaya mrisho kikwete viongozi hao wa kimila
(MALAIGWANANI) wanasema wanamuomba Rais kuwa aingilie kati mgogoro wa
tatizo lao la Ardhi ambayo hivi sasa wasiwasi unaendelea kutanda na
shughuli nyingi za kijamii na uchumi hazifanyiki huko Loliondo kwa kuwa
zimesimama sisi ndio wenye sauti kwa jamii tumeonelea ni vyema tuje
tukufikishie malalamiko yetu
viongozi
waliofika kuongea na wandishi wa habari wako idadi ya 13 wakiongozwa na
Laanoi Munge katibui baraza la mila tarafa ya loliondo na sale leo