Marehemu Albert Mangwea enzi za uhai wake
Kwa
ushirikiano na shirikisho la muziki Tanzania habari zinasema kwamba mwili wa
marehemu Albert Mangwea unatarajia kuletwa nchini Tanzania tarehe moja (1) mwezi wa sita 2013 (01/06/2013) ambayo itakuwa
ni Jumamosi na kuna mpango wa kuandaa sehemu ya wapenzi na mashabiki kumuaga
siku ya jumapili katika eneo litakalotangazwa na Kamati ya mazishi