Basi la 
Majinja lililokuwa linatokea jijini Mbeya kwenda Dar es Salaam likiwa 
limeacha njia na kupinduka baada ya kuligonga lori aina ya scania eneo 
la Seminary barabara kuu ya Dar es Salaam-Morogoro na kujer
uhi abiria zaidi ya 40 ambao wamekimbizwa katika hospitali ya mkoa huo.  
Hili ndilo lori aina ya scani lililogongwa na basi hilo.