Rais Dkt.Jakaya Mrisho
Kikwete pamoja na wadau wa lishe bora kutoka mashirika mbalimbali ya
kimataifa wakizindua mpango wa kuweka
virutubisho vya lishe bora katika bidhaa za unga na mafuta nchini uliofanyika
katika kiwanda cha BIDCO Oil and Soap kilichopo katika eneo la viwanda la
Mikocheni jijini Dar es Salaam leo. (Picha na Freddy Maro)
Rais Dkt.Jakaya Mrisho
Kikwete akikagua mafuta yaliyowekwa virutubisho vya lishe bora wakati
alipokitembelea kiwanda cha BIDC Oil and Soap kilichopo eneo la viwanda la
Mikocheni jijini Dar es Salaam leo.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho
Kikwete akongea na wafanyakazi wa kiwanda cha BIDCO Oil and Soap muda mfupi
baada ya kuzindua mpango wa kuweka virutubisho bora vya lishe katika bidhaa za
unga na mafuta uliofanyika jijini Dar es Salaam leo.
Mtaalamu wa kusaga unga Bwana
Patrick Muriuki(kulia) akimwongoza Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete kuweka
virutubisho vya lishe bora katika unga kwa kutumia teknolojia ya kisasa wakati
Rais alipotembelea Kiwanda cha Azam kinachomilikiwa na S.S.
Bhakressa Buguruni jijini Dar esSalaam kukagua uwekaji wa virutubisho vya bora
katika bidhaa zinazozalishwa kiwandani hapo.
Rais
Dkt.Jakaya kikwete akiangalia ukaguzi wa uwepo wa virutubisho vya lishe bora
katika bidhaa zinazozalishwa katika kiwanda cha kuzalisha unga AZAM ukifanyika
katika maabara ya kiwanda hicho Buruguruni jijini
Dar es Salaam.