Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete
akiweka udongo katika kaburi la Waziri wa Zamani wa Kazi ,Marehemu
Balozi Alfred Tandau wakati wa mazishi yaliyofanyika katika makaburi ya
Kinondoni jijini Dar es Salaam.Marehemu Alfred Tandau ambaye alishika
nyadhifa mbalimbali serikalini alifariki tarehe 30 Mwezi Aprili wiki
iliyopita.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete
akiweka shada la Mau katika kaburi la Marehemu Balozi Afred Tandau
wakati wa Mazishi yake yaliyofanyika katika makaburi ya Kinondoni Jijini
Dar es Salaam leo jioni na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa
kitaifa.Picha na Ikulu)



