Blogger Widgets

Social Icons

Pages

Saturday, May 4, 2013

Makamu wa Rais Dkt. Bilal Awasili Mkoani Shinyanga leo kwa ziara ya kikazi ya siku mbili



Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Viongozi mbalimbali wa Mkoa wa Shinyanga, alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Shinyanga kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku mbili leo Mei 04-2013. Picha na OMR.
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...