Picha: Vanessa Mdee na Nancy Sumari kwenye ‘World Economic Forum’ Afrika Kusini
Nancy
Sumari, Vanessa Mdee na mbunifu wa mavazi Eskado Bird ni miongoni mwa
watanzania wanaohudhuria mkutano wa World Economic Forum nchini Afrika
Kusini.
Vanessa Mdee na Nancy Sumari wakiwa na Rais Jakaya Kikwete nchini Afrika Kusini
Nancy akiwa Barbara Bush, (mtoto wa rais wa zamani wa Marekani George Bush
Vanessa Mdee (wa mwisho kulia) akijiandaa kuwasilisha mada