Blogger Widgets

Social Icons

Pages

Sunday, May 19, 2013

PICHA : BREAKING NEWS:MBUNGE WA CHADEMA IRINGA MJINI MH.MSIGWA ALIYEONGOZA VURUGU LEO ASWEKWA RUMANDE

SEHEMU YA WANANCHI WAKINAWA MAJI USONI ILI KUKABILIANA NA MOSHI BAADA YA KUPIGWA MABOMU LA MACHOZI.ASKARI WAKIWA TAYARI KUKABILIANA NA WAMACHI
NGA. 
 MOJA YA BARABARA ZA MANISPAA YA IRINGA IKIWA IMEWEKWA VIZIWIZI IKIWEMO NA KUCHOMA MOTO TAKATAKA BARABARANI.

BARABARA IKIWA IMEWEKWA VIZIWIZI.
GARI LA MBUNGE WA IRINGA PETER MSIGWA KATIKA ENEO LA TUKIO.
BREAKING NEWS!! MBUNGE MSIGWA AKAMATWA,KISA
 KUWATETEA RAIA WAKE:

Serikali ya Tanzania inayoongozwa na CCM inastahili kuingia katika rekodi ya Serikali za kidikiteta duniani kwa kuwanyanyasa raia wake,hasa wanaoonekana kukataa chama Tawala yaani CCM.Wamachinga Iringa mida hii wanapigwa mabomu kana kwamba ni digidigi kstika nchi yao.Serikali imewawezesha kiuchumi na kuwapa eneo stahili ambalo ni rafiki kwao kabla ya kuwatimua tena kwa Mabomu kama majambazi?CCM mwogopeni hata Mungu kwa mnavyowanyanyasa Watanzania wenzenu,kumbuka huo udikiteta mnaoutumia kwa binadamu wenzenu malipo ni duniani,kama ni jimbo mlishapoteza na kamwe halitarudi kwenu.Msigwa kukamatwa ndio mnamwongezea umaarufu,MUNGU yupo naye.Toka lini giza na Nuru vikawa pamoja????NEVER!! SHAME UPON YOU!!!


HABARI TOKA IRINGA ZINASEMA KWAMBA  MBUNGE WA IRINGA MJINI MH.MCHUNGAJI PETER MSIGWA AMEKAMATWA NA POLISI NA KUSWEKWA NDANI KWA SABABU YA KUCHOCHEA VURUGU ZA MACHINGA MJINI IRINGA MUDA MFUPI ULIOPITA!! STAY TUNED!!
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...