So
much is happening in the Bongo Flava scene!! TID anataka kuoa, Nurah
anatarajia kufunga ndoa June 8 na sasa Nay wa Mitego naye anategemea
kuitwa baba, basi raha tupu!!
Kupitia
Instagram Nay aka True Boy ambaye hivi karibuni amekuwa dhahabu kwenye
show za promotion za makampuni ya simu, amekuwa akishare picha za
msichana ambaye kwa mujibu wake ni ‘Mama Kijacho Wake’. “Mic u mama
kijacho wanguuuuuuuu…” aliandika hivi karibuni kwenye picha ya msichana
huyo.