Blogger Widgets

Social Icons

Pages

Saturday, May 25, 2013

MREMBO FEZA KESSY NDIYE MUWAKILISHI WATANZANIA KATIKA SHINDANO LA BIG BROTHER SOUTH AFRICA 2013.SOMA HII STORY HAPA


feza-kessy-rick-ross-vanessa-mdee
feza-kessy
Kwa mujibu wa ripoti kutoka kwenye   mitandao  mbalimbali nchini Tanzania, mrembo huyu, mwanamuziki Feza Kessy, ndiye atakayeiwakilisha Tanzania katika Big Brother Africa 2013 (BBA “The Chase.” Well, hizi ni baadhi ya picha zake.
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...