Movie titled “Without Daddy” ambayo imepata kick kutokana na Mama
Kanumba kuwa ndani yake, kesho itakuwa mitaani. Watu wengi wana hamu
kubwa ya kuona jinsi gani mama Kanumba anauwezo kiasi gani kwenye ishu
za kuigiza. Basi usikose kuikamata copy yako kesho na uangalie jinsi
gani mama Kanumba kafanya mambo humu ndani. Kweli alimpa kipaji mwanae
au ni vingine?