Mgeni
rasmi Mke wa Waziri Mkuu,Mama Tunu Pinda (wa tano kutoka kushoto) akiwa
katika picha ya pamoja na baadhi viongozi wakuu wa TAPSEA pamoja na
waratibu wa Kongamano hilo la Makatibu Muhtasi Tanzania lililofanyika leo
kwenye kituo cha mikutano cha Kimataifa jijini Arusha-AICC.
Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu,Uwezeshaji na Uwekezaji,ambaye pia ni
mlezi wa TAPSEA.Dkt Mary Nagu
akimkabidhi zawadi ya kinyago mgeni rasmi,Mke wa Waziri Mkuu,Mh.Mama
Tunu Pinda ,shoto kwake ni Mwenyekiti wa TAPSEA,Bibi Pili Mpenda wakati
wa Kongamano la tatu la Makatibu Muhtasi Tanzania.
Mgeni rasmi,Mke wa Waziri Mkuu,Mh.Mama Tunu Pinda akifungua Kongamano la tatu la Makatibu Muhtasi Tanzania,lililofanyika kwenye kituo cha mikutano cha Kimataifa jijini Arusha-AICC ..
Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu,Uwezeshaji na Uwekezaji,ambaye pia ni
mlezi wa TAPSEA.Dkt Mary Nagu akizungumza jambo mbele ya wageni waalikwa mbalimbali waliofika kwenye kongamano tatu la Makatibu Muhtasi Tanzania,lililofanyika kwenye kituo cha mikutano cha Kimataifa jijini Arusha-AICC .
Waziri wa Maendeleo
ya Jamii Jinsia na Watoto,Mh.Sofia Simba akizungumza jambo mbele ya wageni
waalikwa mbalimbali kwenye
mkutano wa Kongamano la tatu la Makatibu Muhtasi Tanzania,uliofanyika mapema leo kwenye kituo cha mikutano cha Kimataifa jijini Arusha-AICC .
mkutano wa Kongamano la tatu la Makatibu Muhtasi Tanzania,uliofanyika mapema leo kwenye kituo cha mikutano cha Kimataifa jijini Arusha-AICC .
Sehemu ya meza kuu ndani ya mkutano wa
kongamano la tatu la Makatibu Muhtasi Tanzania lililofanyika leo kwenye
kituo cha mikutano cha Kimataifa jijini Arusha-AICC,kutoka kushoto
ni Waziri wa Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto,Mh.Sofia
Simba,Waziri wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu,Uwezeshaji na Uwekezaji,ambaye pia ni
mlezi wa TAPSEA.Dkt Mary Nagu,Mgeni
rasmi wa Kongamano hilo la TAPSEA,Mke wa Waziri Mkuu,Mama Tunu Pinda,Mwenyekiti wa
TAPSEA,Bibi Pili Mpenda pamoja na Naibu Waziri wa katiba na sheria
ambaye pia ni Mshauri wa masuala ya sheria na kazi waTAPSEA,Bi.Angella Kairuki.
Pichani ni sehemu ya wageni waalikwa mbalimbali waliofika kwenye
kongamano la tatu la Makatibu Muhtasi Tanzania lililofanyika leo
kwenye kituo cha mikutano cha Kimataifa jijini Arusha-AICC.Picha Kwa Hisani ya Mtaa Kwa Mtaa Blog