Mama
Tunu Pinda akimpa pole Mzee Athumani Abdala (76) ambaye amevunjika
miguu yake miwili kutokana na kugongwa na pikiki Mzee huyo amelazwa
katika Hospitali ya Mkoa Arusha Maunt Meru Mama pnda alifika
Hospitalini hapo kuwa Julia hali wahanga wa Bomu Picha na Chris Mfinanga