Meneja Uhusiano wa TBL, Doris Malulu (kulia) akitoa maelezo kwa maofisa hao kuhusu shughuli mbalimbali za kampuni hiyo.
Maofisa wa Jeshi wakipata maelezo jinsi bia inavyopikwa kwa kutumia kompyuta
Mpishi wa Bia wa TBL, Kelvin Nkya akiwaeleza maofisa hao jinsi bia inavyochachuliwa
Meneja wa Kiwanda cha Bia cha TBL Dar es Salaam, Calvin Martine (kushoto) akimkabidhi zawadi
Maofisa wa Jeshi wakiwa katika picha ya pamoja na maofisa wa TBL baada ya kumaliza ziara.
Maofisa wa Jeshi wakitembelea kiwanda hicho |
Maofisa wakiwa na baadhi ya watalaamu wa maabara ya TBL |
Add caption |
Meneja wa Kiwanda cha Bia cha TBL Dar es Salaam, Calvin Martine (kushoto) akimkabidhi zawadi
Maofisa wa Jeshi wakiwa katika picha ya pamoja na maofisa wa TBL baada ya kumaliza ziara.