Akichezesha
taya na paparazi wetu juzikati, Linex alisema kwa sasa yeye na mchumba
wake Mzungu aitwaye Suvi Rikka bado wanasomana na kila mmoja
akisharidhika na tabia ya mwenzake ndipo suala la ndoa litafuata.
“Mimi
sitaki kuoa kwa fasheni eti kwa kumfuata mtu f’lani na sitaki kufunga
ndoa leo halafu kesho imevunjika, nataka mimi na mke wangu tuishi
milele,” alisema Linex.



