Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akijibu maswali Bungeni Mjini Dodoma, May 16, 2013.
Waziri wa Mawasiliano na Uchukuzi, Harison Mwakyembe akisoma Hotuba ya Bajeti ya Wizara hiyo, Bungeni Mjini Dodoma, May 16, 2013
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa
Mtaifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR), Joyce Mends-Cole kabla ya
mazungumzo yao, ofisini kwa Waziri Mkuu Mjini Dodoma , May 16,2013.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mwakilishi wa Shirika la Kuhudumia
wakimbizi la Umoja wa Mataifa (UNHCR), Joyce Mends-Cole, Ofisini kwa
Waziri Mkuu, Mjini Dodoma May 16, 2013.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akipata Maelezo kuhusu mizinga ya nyuki
iliyofinyangwa kwa udongo kutoka kea Mkurugenzi wa Shirikala African
SoilHives Technology la mafinga Iringa, Donald Kalinga (kushoto) kwenye
makazi yake Mjini Dodoma May 14,2013. Wengine pichani kutoka kushoto ni
Farida Mgalama, Tekla Pila na Beather Mkono, wote ni wananchama wa
Shirika hilo
Watalaamu
wa nyuki kutoka Kampuni ya National Beekeeping Supplies Limited ya
Dodoma, David Kamala (kushoto) na Abubakar Salum wakilina asali kwenye
shamba la ufugaji nyuki na kilimo la Waziri Mkuu, Mizengo Pinda lililopo
Zuzu Mjini Dodoma, May 15, 2013 usiku. Mzinga mmoha ulitoa wastani wa
lita 10 za asali.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu