| Licha ya kutoweka nini kilichompeleka mahakamani, leo Prezzo alitweet kueleza kuwa ana imani na mfumo wa mahakama ya Kenya na kwamba ukweli utabainika. “Thanks to everyone who wished me well. I have faith with the Kenyan judicial system. The tuth shall prevail. |
Kutokana na hatua hiyo, mtangazaji wa Clouds FM, Diva ambaye kwa mujibu wake mwenyewe ni mpenzi wa Prezzo amemtumia ujumbe huu Prezzo:



