Clouds
Media wameamua kufungua mashitaka hayo baada ya Lady Jaydee kuongea
kauli mbaya ambazo hasa zilikuwa zinawalenga maboos wakubwa wawili wa
juu wa wa Clouds Media Group ambao ni Mkurugenzi Mtendaji , Joseph
Kusaga na Mkurugenzi wa Utafiti na Maendeleo, Ruge Mutahaba katika
mitandao ya kijamii hivi karibuni. Lady Jaydee anatakiwa kuripoti
Mahakamani kukabiliana na tuhuma hizo endele kuwa nasi tutakujuza
kinacho endelea huko.