Blogger Widgets

Social Icons

Pages

Friday, May 3, 2013

GUCCI MANE ATOKA JELA




Rapper Gucci Mane ameachiwa kutoka jela Geogia baada ya kukaa kwa takribani wiki tatu jela.Kama nilivyoripoti siku ya tarehe 13 april kwa kukiuka masharti,tangu siku hiyo aliwekwa ndani.
Mwanasheria wa Gucci Drew Findling, amesema, ukiukaji muda wa majaribio na Gucci ulisababishwa na tukio lilitokea march 25 katika club ya usiku ya Atlanta....wakati Gucci anadaiwa kumpiga na chupa kichwani mmoja wa watu waliokuwepo ndani ya Club hiyo, na kusababisha tafash kubwa




Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...