Blogger Widgets

Social Icons

Pages

Wednesday, May 22, 2013

DK. ASHA-ROSE AKUTANA NA WAANDISHI LEO DODOMA


Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiro akizungunza na waandishi wa habari, leo katika ukumbi wa Sekretarieti, Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma. Amezungumzia masuala mbalimbali yaliyojiri kwenye kikao cha Kamati Kuu ya CCM kilichomalizika jana. (Picha na Bashir Nkoromo) 1.press dom 
Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiro akizungunza na waandishi wa habari, leo katika ukumbi wa Sekretarieti, Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma. Amezungumzia masuala mbalimbali yaliyojiri kwenye kikao cha Kamati Kuu ya CCM kilichomalizika jana. (Picha na Bashir Nkoromo)
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...