Blogger Widgets

Social Icons

Pages

Sunday, May 26, 2013

BREAKING NEWZZ. MATOKEO YA KIDATO CHA NNE KUTANGAZWA UPYA KESHO JUMATATU TAREHE 27/5/2013

Habari za kuaminika kutoka kwa Ndugu wa karibu wa Mh. Naibu Waziri Philip Mulugo anayeshughulikia maswala ya elimu hapa nchini kwa sasa matokeo yaliyofutwa yanatarajia kutangazwa kesho baada ya kukamilika kwa marekebisho ya upangaji mpya wa madaraja.
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...