TID a.k.a
MNYAMA
Leo
amejikuta akiambulia matusi ya nguoni baada
ya
kuitosa show ya Lady Jaydee na kuandika katika Account yake ya Facebook hivi

Ndipo mashabiki wa Bongo flava walipoanza kufunguka na tizama hizi comment alizoandikiwa T.I.D