Dillish na Nando wakioga |
Jana (May 29)
ilikuwa ni usiku wa tatu katika jumba la big brother Afrika huko Afrika
Kusini mengi yanazidi kuonekana na sasa washiriki wengi wanaanza
kuonesha side B ya mioyo yao na kujaribu kupata muda wa kuwa romantic na
kuonesha upendo (Romantic time).
Wakati washiriki wengine wakiendelea na mambo yao mtanzania Ammy
Nando alijiachia kwenye bafu moja na na kuoga na mrembo Dillish kutoka
na Namibia ambae ni mwanafunzi wa mwaka wa tatu akisomea Saikolojia.
Huenda huu
ukawa mwanzo wa mahusiano yao humo ndani kwa sababu moyo hauna pazia na
uruzi wa Dillish unaweza kumvuta to the limit model huyo wa kitanzania.
Dillish |
Kwa
upande mwingine the boss lady toka Kenya Huddah Monroe alipata nafasi ya
kushare na Denzel mawili matatu hasa kuhusu mahusiano, wakati Denzel
akiwa ameonesha tangu mwanzo kudata kwa Huddah. Jana Huddah alifunguka
na kumwambia kuwa anahitaji mwanamme mwenye pesa na kwamba she is a gold
digger. Lakini second kadhaa baadae akafuta kauli yake na kumwambia
kuwa alikuwa anatania. Really?!
Wiki hii Benzel, Betty, Huddah, Selly na Natasha wako katika nafasi kukumbwa na Eviction.