Baadhi
wananchi mbalimbali wakiwa katika foleni ya kukata tiketi za pambano la
ligi kuu kati ya watani wa jadi katika Yanga na Simba pambano
litakalofanyika siku ya jumamosi kesho katika uwanja wa Taifa pambano
hilo ni la kukamilisha ratiba ya ligi kuu ya vodacom mpaka hivi sasa
Bingwa wa ligi kuu mwaka huu ni klabu ya Yanga Afrcan na mshindi wa
pili ni timu ya Azam na Simba Sports wanashika nafasi ya tatu
tunawatakia heri na fanaka timu zote kesho
Read more: http://audifacejackson.blogspot.com/2013/05/angalia-mashabiki-wa-soka-wakinunua.html#ixzz2Ta7QQgJr