Kituoa cha Runinga cha michezo cha BeIN
, ambao ndio wamiliki wa kampuni ya michezo ya Qatar –Ambacho ndicho
kinachomiliki timu ya PSG – kimetangaza kuwa Carlo Ancelotti anaachana
na klabu hiyo Mapema leo hii , Ancelotti alikutana na Rais wa PSG na
Mkurugnzi wa soka , Nasser Al-Khelaifi na Leonardo ,Kushughulikia
mustakabari wa kocha huyo,na Makubaliano yameshafanyika na mtaliano huyo
anaondoka klabuni hapo na anatarajia kusaini na klabu nyingine ..